Загрузка страницы

Simulizi ya kweli ya Ghati na Rhobi

Simulizi ya Kweli ya Ghati na Rhobi ni filamu ya uhuishaji ya dakika tano inayolenga kuongeza uelewa juu ya ukeketaji. Inaeleza simulizi ya kuvutia ya wasichana wawili (Ghati na Rhobi) ambao walikaataa ukeketaji kwenye jamii yao. Wasichana hawa walionyesha ujasiri kwa kusema hapana kwa ukeketaji, kitendo ambacho walisikia kina maumivu makali ambapo wasichana kadhaa hufariki kutokana nacho. Kwa msaada wa wazee katika jamii yao, walibadilisha mitazamo juu ya kipindi cha mpito cha msichana kutoka usichana kwenda utu uzima yaani kuwa mwanamke kwa kutokomeza ukeketaji.

Toleo la kiingereza: https://www.youtube.com/watch?v=X1qR7n8hi4w

Imetengenezwa na FORWARD na Animage Films kwa kushirikiana na Shirika la Jukwaa la Utu wa Mtoto Forum (CDF).
Imefadhiliwa na Comic Relief na Sigrid Rausing Trust.
Imetengenezwa na kuongozwa kwa ushirikiano wa the award winning filmmaker na mwansidhi Ruth Beni. Imehuishwa na Yael Ozsinay. 
Santuri na Muziki kutoka kwa msanii wa Kongo Mulele Matondo Afrika: www.mulelematondo.com

Changia kusaidia FORWARD kutokomeza ukeketaji! Tafadhali andika FWRD30 £ 3 (au kiasi kingine) kwenda na : 70070

Iwapo utahitaji msaada kuhusu masuala yaliyowakilishwa katika filamu hii, tafadhali wasiliana na FORWARD kwa namba 020 8960 4000 (Mkondo 1), au support@forwarduk.org.uk. Nchini Tanzania tafadhali wasiliana na CDF: Simu namba: +255 (0) 22 2 775 010.

Filamu hii inaweza kutumika kwa minajili ya kitaaluma na kuelimisha, tafadhali andika barua pepe kwa forward@forwarduk.org.uk kupata toleo linaloweza kupakuliwa na maelezo jinsi ya kutumia filamu hii. Iwapo upo Tanzania tafadhali andika barua pepe : info@cdftz.org iwapo utahitaji DVD na mwongozo wa mwezeshaji na utoe maelezo jinsi utakavyotumia filamu hii.

Kwa maelezo zaidi: http://www.forwarduk.org.uk
http://www.cdftz.org
http://www.animageltd.com

Видео Simulizi ya kweli ya Ghati na Rhobi канала FORWARDuk
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
19 ноября 2015 г. 14:45:26
00:06:18
Другие видео канала
Taa Zee ya Barabara | the Old Street Lamp | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesTaa Zee ya Barabara | the Old Street Lamp | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesChiku & Katope - Episode 1 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 1 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 3 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 3 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 2 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 2 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentCatherine na hatma yake  | Catherine and Her Destiny | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesCatherine na hatma yake | Catherine and Her Destiny | Hadithi za Kiswahili | Swahili Fairy TalesChiku & Katope - Episode 4 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 4 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 5 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentChiku & Katope - Episode 5 | Hadithi za Watoto na Mazingira | African Stories about the EnvironmentThis Is The Way Song (Playground Edition) + More Nursery Rhymes & Kids Songs - CoComelonThis Is The Way Song (Playground Edition) + More Nursery Rhymes & Kids Songs - CoComelonFire Drill Song + More Nursery Rhymes & Kids Songs - CoComelonFire Drill Song + More Nursery Rhymes & Kids Songs - CoComelonOld MacDonald (Baby Animals Edition) | CoComelon Nursery Rhymes & Kids SongsOld MacDonald (Baby Animals Edition) | CoComelon Nursery Rhymes & Kids SongsPeppa Pig Learns How To Make Pancakes! 🐷🥞 | @Peppa Pig - Official ChannelPeppa Pig Learns How To Make Pancakes! 🐷🥞 | @Peppa Pig - Official ChannelBingo Is Sick + More Little Angel Kids Songs & Nursery RhymesBingo Is Sick + More Little Angel Kids Songs & Nursery RhymesPAW Patrol Water Rescues! w/ Rubble & Chase 🌊 | 30 Minute Compilation | Nick Jr.PAW Patrol Water Rescues! w/ Rubble & Chase 🌊 | 30 Minute Compilation | Nick Jr.PAW Patrol Mighty Rescues w/ Skye & Everest! | 30 Minute Compilation | Nick Jr.PAW Patrol Mighty Rescues w/ Skye & Everest! | 30 Minute Compilation | Nick Jr.Peppa Pig And Her Friends Use Their Imaginations! 🐷🧸Peppa Pig And Her Friends Use Their Imaginations! 🐷🧸Blippi Learns To Skateboard with Shaun White! | Fun and Educational Videos for KidsBlippi Learns To Skateboard with Shaun White! | Fun and Educational Videos for KidsSesame Street: Learn About Animals with Elmo | Elmo's World CompilationSesame Street: Learn About Animals with Elmo | Elmo's World CompilationBllippi Explores London On A Double-Decker Bus! | Educational Videos for KidsBllippi Explores London On A Double-Decker Bus! | Educational Videos for KidsYES YES Vegetables! @Lellobee City Farm - Cartoons & Kids Songs | Sing Along With Me! | Moonbug KidsYES YES Vegetables! @Lellobee City Farm - Cartoons & Kids Songs | Sing Along With Me! | Moonbug Kids
Яндекс.Метрика