Загрузка страницы

DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU"

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema Mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai (Chadema), Helga Mchomvu, leo Alhamisi Novemba 14,2019 wamekamatwa na polisi kwa amri ya Mkuu wa Wilaya hiyo, Lengai Ole Sabaya.

Akizungumza na GlobaTV Online, Sabaya amethibitisha kukamatwa kwa Lema na Mchomvu.

Sabaya amedai kiini cha kuagiza viongozi hao wakamatwe ni kutokana na kile alichokiita kuendeleza njama zao za kuvuruga amani katika wilaya hiyo na kusababisha taharuki kwa wananchi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

“Kitendo cha mbunge Lema kutoka Arusha na kuja hapa Hai na kufanya vikao vya siri ni sawa na kuvuka mstari mwekundu na hili sisi kama Serikali hatuwezi kulivumilia. Namtaka Lema ajisalimishe mwenyewe polisi,” amesisitiza Sabaya.

YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
---------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY:
https://www.youtube.com/playlist?list...

HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
https://www.youtube.com/playlist?list...

GLOBAL RADIO TV:
https://www.youtube.com/playlist?list...

EXCLUSIVE INTERVIEWS:
https://www.youtube.com/playlist?li

Видео DC SABAYA AMSWEKA LEMA NDANI, ATAJA SABABU "ANATAFUTA UMAARUFU" канала Global TV Online
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 ноября 2019 г. 18:23:03
00:04:19
Другие видео канала
GOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATUGOODBLES LEMA AMPIGIA OLE SABAYA NA KUMTAKA AACHE KUTESA WATUUtabiri wa Godbless Lema unavyotimia na kutesa viongoziUtabiri wa Godbless Lema unavyotimia na kutesa viongoziSamia Amuumbua Sabaya "Usinibabaishe wewe si mwanamke Tu" Wamekuwa wakimsumbuwa Huyu Mama Kwa DharauSamia Amuumbua Sabaya "Usinibabaishe wewe si mwanamke Tu" Wamekuwa wakimsumbuwa Huyu Mama Kwa DharauANAYEDAIWA KUPIGWA 'RISASI' NA DC SABAYA, AFUNGUKA MKASA MZIMA..ANAYEDAIWA KUPIGWA 'RISASI' NA DC SABAYA, AFUNGUKA MKASA MZIMA..MAPYA KESI ya SABAYA, BOSI VODACOM AMCHOMA MAHAKAMANI APELEKA MAWASILIANO YAKE YOTE...MAPYA KESI ya SABAYA, BOSI VODACOM AMCHOMA MAHAKAMANI APELEKA MAWASILIANO YAKE YOTE...DC SABAYA Amsweka Ndani Kapteni Wa JESHI ''Unajifanya Kichaa Mimi Kichaa Mwenzako''DC SABAYA Amsweka Ndani Kapteni Wa JESHI ''Unajifanya Kichaa Mimi Kichaa Mwenzako''DC SABAYA Alivyomnasa MFANYABIASHARA na SHEHENA ya POMBE FEKI, USIKU wa MANANE...DC SABAYA Alivyomnasa MFANYABIASHARA na SHEHENA ya POMBE FEKI, USIKU wa MANANE...Mboyoyo ajitosa kwenye uchaguzi, sikiliza sera zake,(MBOYOYO! JAMBO NA VIJAMBOMboyoyo ajitosa kwenye uchaguzi, sikiliza sera zake,(MBOYOYO! JAMBO NA VIJAMBOGodbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa YatibukaGodbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa YatibukaDC SABAYA  ACHAMBUA CHANZO CHA NDEGE KUZUILIWA "TUSISHABIKIE KAMA MAZUZU"DC SABAYA ACHAMBUA CHANZO CHA NDEGE KUZUILIWA "TUSISHABIKIE KAMA MAZUZU"ZUCHU AINGIA KAMA MWANAJESHI NA KAMBA UWANJANI, APIGA SHOW YA MWAKA HAIJAWAHI KUTOKEA..ZUCHU AINGIA KAMA MWANAJESHI NA KAMBA UWANJANI, APIGA SHOW YA MWAKA HAIJAWAHI KUTOKEA..Duh.! Lema amtaka Mbowe aondoe mawakili wote kwenye kesi yake, Jaji amepanga kufanya jambo hiliDuh.! Lema amtaka Mbowe aondoe mawakili wote kwenye kesi yake, Jaji amepanga kufanya jambo hiliYanzu yanzu hamza el mustapha yatona asirin manyan kasar nan akan abunda yake faruwaYanzu yanzu hamza el mustapha yatona asirin manyan kasar nan akan abunda yake faruwaBOSS VODA AKANA KUTOA MESEJI ZA SABAYA, ABANWA KUHUSU FARAGHA ZA MAWASILIANO YA WATEJA..BOSS VODA AKANA KUTOA MESEJI ZA SABAYA, ABANWA KUHUSU FARAGHA ZA MAWASILIANO YA WATEJA..MWANAMKE MWENYE AFYA YA AKILI ANAMIPAKA - NAVAA BIKINI- ACHA ULOKOLE KITANDANI- PASTOR ROSE SHABOKAMWANAMKE MWENYE AFYA YA AKILI ANAMIPAKA - NAVAA BIKINI- ACHA ULOKOLE KITANDANI- PASTOR ROSE SHABOKAMBOWE amvaa VIKALI DC Sabaya "Umechafua Wilaya ya HAI, Umebambikia watu KESI/Tutadili na wewe KIHUNIMBOWE amvaa VIKALI DC Sabaya "Umechafua Wilaya ya HAI, Umebambikia watu KESI/Tutadili na wewe KIHUNIWANANCHI walivyotanda BARABARANI kumlilia MAGUFULI/ SIMANZI, VILIO vya TAWALAWANANCHI walivyotanda BARABARANI kumlilia MAGUFULI/ SIMANZI, VILIO vya TAWALATanzania Yetu - WakongweTanzania Yetu - WakongweEXCLUSIVE PART 1: MH KIGWANGALA - Sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa waziri/ Ruge/ NalalajeEXCLUSIVE PART 1: MH KIGWANGALA - Sikuwahi kufikiria kama ningekuja kuwa waziri/ Ruge/ Nalalaje🔴#Live: DUNIANI LEO - MAAFISA WANNE WA KUSIMAMIA UCHAGUZI WAFUKUZWA KAZI KENYA, DAKIKA 34 ZILIZOPITA🔴#Live: DUNIANI LEO - MAAFISA WANNE WA KUSIMAMIA UCHAGUZI WAFUKUZWA KAZI KENYA, DAKIKA 34 ZILIZOPITA
Яндекс.Метрика