Загрузка страницы

NANDY: Bill Nas Hatupo Pamoja / Zuchu / Hawezi Kufika / Nyimbo imebuma / Utampata Beyonce?

Nandy kwa mara ya kwanza ameongea kuhusu kuachana na Bill Nas na kuvua pete ya uchumba aliyovishwa, Pia Nandy ameongea kuhusu story za kushindanishwa na Msanii Zuchu, Mipango yake ya Kufungua lebo na Kumtangaza msanii mpya chini yake.

Ameongea mengi ikiwepo kusema nia yake ni kuwa msanii namba 1 Afrika nzima kwenye na kumpita Yemi Alade list ya Top 5 ya wasanii wa kike.

Ametumia zaidi ya Tsh million 40 kufanya wimbo na Koffi Olomide, #LilOmmy #Nandy #Podcast #SwahiliRadio #Audiomack
Stream Audio: https://audiomack.com/audiomack-africa/playlist/swahili-radio-podcast

Download Audiomack App on your mobile device
Android: https://play.google.com/store/apps/details?id=com.audiomack
iOS: https://apps.apple.com/us/app/audiomack/id921765888?ls=1

Let's Connect
http://www.instagram.com/lilommy
http://www.twitter.com/LilOmmy
https://mobile.facebook.com/lilommyfanpage

https://lilommy.com/
Hakikisha Subscribe, Gonga Like, Angusha Comment na Share kwenye WhatsApp Groups au Facebook na Twitter.

Видео NANDY: Bill Nas Hatupo Pamoja / Zuchu / Hawezi Kufika / Nyimbo imebuma / Utampata Beyonce? канала LilOmmyTV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
22 июля 2021 г. 23:00:10
00:35:36
Яндекс.Метрика