Загрузка страницы

Mchungaji Msigwa awajibu ‘wanaosema nyumba, gari lake lichomwe moto’

Mwanachama mpya wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema kauli kwamba akihama Chadema kwenda CCM nyumba na magari yake yachomwe moto aliitoa katika mazingira tofauti na ya sasa.

Mchungaji Msigwa amesema hayo leo Jumatatu, Julai mosi, 2024 alipozungumza na Mwananchi Digital, ikiwa ni siku moja tangu alipotangazwa kujiunga CCM mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Ikulu jijini Dar es Salaam.

"Kauli ile haihusiana na sasa, niliposema nikihama Chadema nyumba yangu ichomwe, nilizungumza vile wakati ule wimbi la watu kuhama likifanyika tukiwa bado wabunge na wengine madiwani.

"Nilizungumza kwa maana kwamba nilikuwa nimepewa dhamana ya ubunge na ilikuwa lazima nimalize muda wa ubunge, wanaolitafsiri wakati huu wanalizungumza nje ya muktadha," amesema.

Mchungaji Msigwa amezunguza mengi. Kushindwa kwake uchaguzi, Je kuingia CCM kutambadilisha? Haya na mengine Ingia www.mwananchi.co.tz

(Imeandikwa na Imani Makongoro)

Видео Mchungaji Msigwa awajibu ‘wanaosema nyumba, gari lake lichomwe moto’ канала Mwananchi Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
1 июля 2024 г. 19:55:37
00:01:10
Другие видео канала
Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuHali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya UhuruShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya Uhuru#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 , 13 JUNI, 2024#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 , 13 JUNI, 2024Mwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniMwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera HandeniSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera Handeni#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 KIKAO CHA 55 TAREHE 27 JUNI, 2024#LIVE: BUNGE LA KUMI NA MBILI MKUTANO WA 15 KIKAO CHA 55 TAREHE 27 JUNI, 2024🔴  #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwisho🔴 #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwishoMKE AELEZEA MUMEWE ALIVYOCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA, MDOGO MTU AFUNGUKA ANAYOPITIAMKE AELEZEA MUMEWE ALIVYOCHUKULIWA NA WATU WASIOJULIKANA, MDOGO MTU AFUNGUKA ANAYOPITIATUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPATUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPAKesi ya Ukahaba majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama akijibu 'hajui'Kesi ya Ukahaba majibu ya shahidi yalivyoiudhi Mahakama akijibu 'hajui'Said Makapu afichua siri za YangaSaid Makapu afichua siri za YangaMpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya BungeMpina asimamishwa kuhudhuria vikao 15 vya BungeMapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Mapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Maisha ya Afande Sele,  mjengo wake huu hapa  amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuMaisha ya Afande Sele, mjengo wake huu hapa amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuNANI MTEKAJI? WADAU WAHOJI MATUKIO MAZITO YA UTEKAJI NCHINI,WENGINE MPAKA SASA HAWAJULIKANI WALIPONANI MTEKAJI? WADAU WAHOJI MATUKIO MAZITO YA UTEKAJI NCHINI,WENGINE MPAKA SASA HAWAJULIKANI WALIPOAngalizo matumizi holela vipimo vya Ukimwi, watu wafunguka wanavyowapima wapenzi waoAngalizo matumizi holela vipimo vya Ukimwi, watu wafunguka wanavyowapima wapenzi waoRipoti Maalumu|| Uvutaji gundi unavyoweka rehani maisha ya watoto wa mtaani, VijanaRipoti Maalumu|| Uvutaji gundi unavyoweka rehani maisha ya watoto wa mtaani, VijanaMwandamizi: Aweka wazi sababu za Chama kuachana na  Simba, ataja watakaopewa Thank You Yanga.Mwandamizi: Aweka wazi sababu za Chama kuachana na Simba, ataja watakaopewa Thank You Yanga.Sekeseke la mgomo wa Wafanyabiashara Mwanza,  wadaiwa kukacha kikao na RC MtandaSekeseke la mgomo wa Wafanyabiashara Mwanza, wadaiwa kukacha kikao na RC Mtanda
Яндекс.Метрика