Загрузка страницы

Wakazi wa Chesumei wakarabati daraja la Samoo lililoharibiwa na mafuriko

Wakazi wa Tuyobei, Kamurguywo na Samoo katika eneo bunge la Chesumei Kaunti ya Nandi wameungana kukarabati daraja la samoo ambalo liliharibiwa na mvua na kuwacha wakazi bila daraja.
Wakazi hao waliojihami kwa vifaa mbalimbali walitumia mchanga kufunika shimo kubwa kwenye daraja la samoo Ili kuwawezesha kusafiri bila matatizo . Wakaazi hao walilaumu viongozi wa eneo hilo na kusema kuwa wamewatelekeza licha ya barabara hiyo kutumiwa na wakulima,wafanyabiashara na wote wanaotafuta huduma mbalimbali mjini Kapsabet.

Видео Wakazi wa Chesumei wakarabati daraja la Samoo lililoharibiwa na mafuriko канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
27 декабря 2023 г. 15:59:14
00:01:58
Другие видео канала
JKLIVE | Climate Change and Green Cooling [Part 1]JKLIVE | Climate Change and Green Cooling [Part 1]CS Chirchir speaks on the proposal between Adani Energy and KETRACOCS Chirchir speaks on the proposal between Adani Energy and KETRACOKey witness in the case against Mandago questioned on failing to honor the summonsKey witness in the case against Mandago questioned on failing to honor the summonsGovernment pathologists conducting victims’ autopsiesGovernment pathologists conducting victims’ autopsiesWenye hisa wa kampuni ya Directline waamua kusitisha utoaji bimaWenye hisa wa kampuni ya Directline waamua kusitisha utoaji bimaBaraza la wazee wa kaunti ya Lamu kupinga umilikaji wa eneo la Daresalam point na Kaunti ya GarissaBaraza la wazee wa kaunti ya Lamu kupinga umilikaji wa eneo la Daresalam point na Kaunti ya GarissaZaidi ya vijana 750 eneo la Dongo Kundu kupokea mafunzo ya kiufundiZaidi ya vijana 750 eneo la Dongo Kundu kupokea mafunzo ya kiufundiKenya yashindania ujuziKenya yashindania ujuziKiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Nakuru Alex Lang'at atimuliwa mamlakaniKiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Nakuru Alex Lang'at atimuliwa mamlakaniPART 1: SHAJARA NA RASHID.SIMULIZI YA SELINA NAMOE NMUMEWE ALIUWAWA NA KUVAMIWA NA MAJANGILI TURKANAPART 1: SHAJARA NA RASHID.SIMULIZI YA SELINA NAMOE NMUMEWE ALIUWAWA NA KUVAMIWA NA MAJANGILI TURKANAWanafunzi sita wamefariki kwenye ajali ya barabarani katika barabara ya Kitui kuelekea kibwezi.Wanafunzi sita wamefariki kwenye ajali ya barabarani katika barabara ya Kitui kuelekea kibwezi.President Ruto signs Kenya-Germany agreement on migrationPresident Ruto signs Kenya-Germany agreement on migrationWasafiri wa ndege wa Moi, Kisumu, Eldoret walitatizika kwenye safari zaoWasafiri wa ndege wa Moi, Kisumu, Eldoret walitatizika kwenye safari zaoWaziri wa uchukuzi Davis Chirchir kuwasilisha stakabadhi za kandarasiWaziri wa uchukuzi Davis Chirchir kuwasilisha stakabadhi za kandarasiViongozi wa eneo la kati wajitenga na Naibu Rais huku wakimtangaza Waziri Kindiki kama kiongozi wao.Viongozi wa eneo la kati wajitenga na Naibu Rais huku wakimtangaza Waziri Kindiki kama kiongozi wao.Airport workers suspend strike after talks with governmentAirport workers suspend strike after talks with governmentGachagua awataka wanasiasa kuacha siasa zisizo na msingiGachagua awataka wanasiasa kuacha siasa zisizo na msingiPresident Ruto: Germany was the first country to recognize Kenya's independencePresident Ruto: Germany was the first country to recognize Kenya's independenceThousands stranded at JKIA due to airport workers’ strikeThousands stranded at JKIA due to airport workers’ strikeKILIO CHA NUNI SOUD ALI KWA WAKENYA NA WAHIFADHI WEMAKILIO CHA NUNI SOUD ALI KWA WAKENYA NA WAHIFADHI WEMAPolice break into activist Booker Omole’s home days after ejecting him from a Beijing-bound planePolice break into activist Booker Omole’s home days after ejecting him from a Beijing-bound plane
Яндекс.Метрика