Загрузка страницы

BREAKING NEWS 🚨Kenyan deported from Mexico over ‘eating taco translation mattersguys #kenyancomedy

🚨 BREAKING NEWS! 🚨

A Kenyan guy just got deported from Mexico for… wait for it… EATING TACO! 😳🌮✈️

Noma ni, huyu jamaa hakuwa kwa restaurant. 💀😂
My guy aliingia club, akasema tu "Wacha nikule taco", na kabla hata amalize sentence, security walimshika waka-mshwafisha faster than Nairobi kanjo! 🚔🤣

What he meant: Just vibing, chilling, having a snack.
What Mexicans heard: My man was front row at a twerking championship! 🍑🔥😭

Sasa jamaa amefika JKIA, passport officers wanamuangalia kama, “Boss, ulienda kula ama ulienda kuvunja sheria?” 💀😂

Moral of the story?
👉 Before you travel, tafuta slang za huko ama utafungwa juu ya jokes! 💀🤣

Question for you:
Nairobians, kama ‘eating taco’ ni crime huko, ni word gani ya sheng ingefanya mdeportiwe Nairobi? Drop your answers in the comments! 😆👇🏾#kenyancomedy

#TacoNiGani #ShengVsMexico #KenyanAbroad #DeportedKwaMbio #JKIAShenanigans

Видео BREAKING NEWS 🚨Kenyan deported from Mexico over ‘eating taco translation mattersguys #kenyancomedy канала Nimrod Muthomi
Показать
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки