Загрузка страницы

Hatimaye TPA Yawajibu Wabunge Ishu ya Bandari ya Bagamoyo!

Hatimaye TPA Yawajibu Wabunge Ishu ya Bandari ya Bagamoyo!

Masharti magumu yaliyotolewa na mwekezaji ndiyo sababu kuu ya serikali kusitisha majadiliano kuhusu mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo.

Masharti hayo ni pamoja na mwekezaji kupewa uhuru wa kujipangia bei ya kutoza wanaosafirisha mizigo kupitia bandari hiyo, kusamehewa kodi na ushuru mbalimbali zikiwemo zile za lazima kisheria, pamoja na kulipwa fidia ya hasara ya kibiashara katika hesabu watakazopiga wao wenyewe.

Akizungumza wakati wa mahojiano maalum na GLOBAL Tv Jijini Mwanza, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Deusdedith Kakoko anasema siyo tu kwamba baadhi ya masharti hayo yangeifilisi Serikali, bali yangesababishia nchi na watu wake, kuuzwa.

Huku akisisitiza umuhimu na faida ya kujengwa kwa bandari ya Bagamoyo, Kakoko amesema bila kujali mwekezaji anatoka nchi gani, Serikali itahakikisha kwamba kila upande,unanufaika.

Https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho

Видео Hatimaye TPA Yawajibu Wabunge Ishu ya Bandari ya Bagamoyo! канала Global TV Online
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
21 мая 2019 г. 17:22:04
00:12:30
Другие видео канала
Mkurugenzi TPA afichua wajanja walivyotaka kuhujumu Bandari/Ilikuwa ni vita...Mkurugenzi TPA afichua wajanja walivyotaka kuhujumu Bandari/Ilikuwa ni vita...ZUMARI: HUYU NDIYE PAUL KIMITI NA ALIYOYAFANYA KWA TAIFA  -   12/4/2021ZUMARI: HUYU NDIYE PAUL KIMITI NA ALIYOYAFANYA KWA TAIFA - 12/4/2021SAKATA la BANDARI ya BAGAMOYO, MTAALAMU Achambua FAIDA na HASARA, KAULI ya SPIKA NDUGAI...SAKATA la BANDARI ya BAGAMOYO, MTAALAMU Achambua FAIDA na HASARA, KAULI ya SPIKA NDUGAI...CCM YACHARUKA NI KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYOCCM YACHARUKA NI KUHUSU BANDARI YA BAGAMOYO🔴#LIVE​ SAA 24​​​​​​​​​: MPENZI SAHIHI NA NAMNA YA KUMPATA | FAMILY VIBES..🔴#LIVE​ SAA 24​​​​​​​​​: MPENZI SAHIHI NA NAMNA YA KUMPATA | FAMILY VIBES..🔴#LIVE​​​​​​​​​: MPENZI SAHIHI NA NAMNA YA KUMPATA | FAMILY VIBES..🔴#LIVE​​​​​​​​​: MPENZI SAHIHI NA NAMNA YA KUMPATA | FAMILY VIBES..Usichokijua kuhusu mji wa Bagamoyo sehemu ya 1Usichokijua kuhusu mji wa Bagamoyo sehemu ya 1Taarifa ya Habari, Saa Mbili Usiku, Aprili 21, 2021.Taarifa ya Habari, Saa Mbili Usiku, Aprili 21, 2021.KAULI za HAYATI MAGUFULI na SPIKA NDUGAI kuhusu MRADI wa BANDARI BAGAMOYO...KAULI za HAYATI MAGUFULI na SPIKA NDUGAI kuhusu MRADI wa BANDARI BAGAMOYO...MTANZANIA ALIYEIBUKA MSHINDI wa 4 Kwenye SHINDANO la QUR'AAN, RAIS MWINYI, AMKABIDHI ZAWADIMTANZANIA ALIYEIBUKA MSHINDI wa 4 Kwenye SHINDANO la QUR'AAN, RAIS MWINYI, AMKABIDHI ZAWADI🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ATINGA SHIRIKA la NDEGE (ATCL), AHOJI IDADI ya ABIRIA..🔴#LIVE: WAZIRI MKUU ATINGA SHIRIKA la NDEGE (ATCL), AHOJI IDADI ya ABIRIA..MAKONDA AHITIMU, ATAJA KAZI ANAYOIFANYA, KIFO CHA JPM, UTAWALA WA RAIS SAMIA KAJIBU HIVI "MKULIMA"MAKONDA AHITIMU, ATAJA KAZI ANAYOIFANYA, KIFO CHA JPM, UTAWALA WA RAIS SAMIA KAJIBU HIVI "MKULIMA"Askofu amkosoa vikali Ndugai na Wabunge hawa: Watarudisha fedha zetu, wamevunja KatibaAskofu amkosoa vikali Ndugai na Wabunge hawa: Watarudisha fedha zetu, wamevunja KatibaHISTORIA YA TOM MBOYA | BY ANANIAS EDGARHISTORIA YA TOM MBOYA | BY ANANIAS EDGAR🔴#LIVE: MPINA ATILIA MASHAKA TAARIFA YA CAG - "KWANINI WATUHUMIWA WENGINE  WANALINDWA?"🔴#LIVE: MPINA ATILIA MASHAKA TAARIFA YA CAG - "KWANINI WATUHUMIWA WENGINE WANALINDWA?"MCHAMBUZI THABIT AWEKA WAZI MBIVU NA MBICHI NYUMA YA PAZIA MIRADI MIKUBWA NA USALITI WA VIONGOZIMCHAMBUZI THABIT AWEKA WAZI MBIVU NA MBICHI NYUMA YA PAZIA MIRADI MIKUBWA NA USALITI WA VIONGOZI"HATA MIMI NACHUNGUZWA, NIPO TAYARI KUADHIBIWA KAMA NITAKUTWA NA MAKOSA" - MKURUGENZI TPA..."HATA MIMI NACHUNGUZWA, NIPO TAYARI KUADHIBIWA KAMA NITAKUTWA NA MAKOSA" - MKURUGENZI TPA...CHARLES NDUKU, LILIAN MWASHA WAFUNGUKA NAMNA YA KUUZA KITABU KWA DAKIKA 1..CHARLES NDUKU, LILIAN MWASHA WAFUNGUKA NAMNA YA KUUZA KITABU KWA DAKIKA 1..BANDARI YA BAGAMOYO : MJUMBE WA TPA AMKOSOA NDUGAI | ASEMA WACHINA WALIKUWA NA MASHARTI YA HOVYOBANDARI YA BAGAMOYO : MJUMBE WA TPA AMKOSOA NDUGAI | ASEMA WACHINA WALIKUWA NA MASHARTI YA HOVYOSpika Ndugai Aishangaa Serikali Kusitisha Mradi wa Bandari BagamoyoSpika Ndugai Aishangaa Serikali Kusitisha Mradi wa Bandari Bagamoyo
Яндекс.Метрика