Загрузка...

SIMBA SC:Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akielezea ushindi wa timu hiyo NBC PL.

"Kwa sasa bila kuangalia msimamo umekaaje sisi jukumu letu ni kushinda kila mchezo ambao uko mbele yetu..."
Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amesema sio jambo rahisi kumshusha mpinzani wao Yanga pale kileleni mwa msimamo japo wanaendelea kupambana ili kushinda mechi zao.

Ahmed aliyasema hayo jana Mei 21, 2026 baada ya kushinda kwa jumla ya magoli 2-1, dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wao wa NBC Premier League.

Kwa sasa Simba SC ipo kileleni mwa msimamo ikiwa na alama 55, huku Yanga SC ikiwa na alama 54 na watashuka dimbani leo saa 10:00 jioni kucheza dhidi ya Singida BS.
#NBCPL #NBCPremierLeague #LigiKuuyaNBC #NBCUpdates #ImenogaZaidi

Видео SIMBA SC:Meneja Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akielezea ushindi wa timu hiyo NBC PL. канала Azam TV
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять