Загрузка страницы

Watu watatu wafariki Chesiywo katika eneo la Mt Elgon

Kwengineko, watu watatu wa familia moja kutoka kijiji cha Chesiywo eneo la Mt Elgon kaunti ya Bungoma wamefariki baada ya kufunikwa na mmomonyoko wa udongo kufuatia mvua kubwa iliyoshuhudiwa eneo hilo usiku wa kuamkia leo. Kulingana na wakaazi, mvua iliyoanza mwendo wa saa mbili usiku ilisababisha mauti ya baba na wanawe watatu

Видео Watu watatu wafariki Chesiywo katika eneo la Mt Elgon канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
22 мая 2024 г. 21:18:58
00:03:06
Яндекс.Метрика