- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
MAANDAMANO YA IRAN JIJINI HAMBURG UJERUMANI WAPINGA UTAWALA WA IRAN
Wa-Iran waishio jijini Hamburg nchini Ujerumani, June 13 wamefanya maandamano ya amani katika eneo la wazi la jiji pa Hamburg (Hamburg City Square) kupinga utawala wa Iran na sera zake huku wakishinikiza utawala huo uachie madaraka. Katika maandamano hayo, wananchi hai wa Iran walionekana kuinua bendera ya Iran pamoja na mabango yenye ujumbe tofauti lakini cha kushangaza zaidi, baadhi walionekana wakiwa na bendera za Marekani na Israel kuashilia uungaji mkono wa mashambalio yanayofanywa na Marekani kwa kushirikiana na Israel. Askari wa jeshi la polisi hapa Ujerumani walikuwepo katika maandamano hayo wakihakilisha usalama na utulivu unatawala. Mmoja wa askari hao ambaye hakutaka jina lake litajwe, alisema, “tuko hapa kuhakikisha amani inatawala mpaka mwisho wa maandamano”
#middleeast #iranwar #isrealattack #usaattack #middleeastconflict
Видео MAANDAMANO YA IRAN JIJINI HAMBURG UJERUMANI WAPINGA UTAWALA WA IRAN канала SQF TV
#middleeast #iranwar #isrealattack #usaattack #middleeastconflict
Видео MAANDAMANO YA IRAN JIJINI HAMBURG UJERUMANI WAPINGA UTAWALA WA IRAN канала SQF TV
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
15 июня 2026 г. 11:35:12
00:01:43
Другие видео канала




















