Загрузка страницы

Katlesi za mayai | Kachori za mayai | Jinsi yakupika katlesi zenye mayai ndani .

#katlesizanyama #eggchops #kachorizamayai #rukiaskitchen

Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen

Mahitaji:-
Mayai 5 yaliyochemshwa
Viazi 5
Kitunguu maji 1
Kitunguusaumu kilichosagwa kijiko 1
Chumvi
Pilipilimanga
Dania /majani ya giligilani
Limau / ndimu
Chenga za mkate
Mayai 2

English recipe press the link ➡️ Potato egg chop recipe | Easy egg snacks | Potato egg cutlet . https://youtu.be/_Y7DCjIQHEE

Видео Katlesi za mayai | Kachori za mayai | Jinsi yakupika katlesi zenye mayai ndani . канала Rukia Laltia
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
21 марта 2021 г. 12:00:02
00:07:06
Яндекс.Метрика