Загрузка страницы

Jamaa wa Miaka 38 Atengeneza Gari la Aina Yake

Kutana na jamaa mwenye umri wa miaka 38 kwa jina Joseph Gitit Ndirangu kutoka eneo la Pwani katika eneo bunge la Njoro kaunti ya Nakuru. Yuko katika pilkapilka za mwisho za kuunda gari lake akitumia injini ya pikipiki. Gari lenyewe, ni la aina ya Land Rover, analopania litamsaidia kuendeleza biashara yake. Yeye ni baba ya watoto wanane, na si mara ya kwanza kujaribu kuwa mbunifu, amewahi jaribu pia kuunda helikopta.

Видео Jamaa wa Miaka 38 Atengeneza Gari la Aina Yake канала K24 TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 февраля 2014 г. 23:33:36
00:02:13
Яндекс.Метрика