Salama Na JK | MSOGA UNO PART 2
#SalamaNa #SendTip Through MPESA #0762797291
Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support
SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs
Listen our Podcast on
Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm
ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru
GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa
Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack
YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa
Muda si mrefu iliopita nilirudi nyuma kidogo kwenye kumbukumbu ya mawasiliano ya kwanza kabisa kati yangu na moja wa wasaidizi wake Mheshimiwa Jakaya Mrisho wa Kikwete na hiyo ilinirudisha nyuma mpaka mwezi wa tatu mwaka 2020. Kama mtu mwengine yoyote hii ilikua ndoto tu ambayo kwa Rehema na Baraka za Allah ilibidi itimie. Kwa Baraka zake hizo mimi na wenzangu tunashkuru sana sana kwa kuweza kulikamilisha hili.
Shukran za dhati ziende kwa Doris Mollel ambaye kwa msaada wa Sadam ‘Almando’ Sanare alinimbia Doris anaweza akatu unganisha na mmoja wa wasaidizi wake ili tuweze kuona kama tunaweza pata hii nafasi, na kama ujuavyo, mengine yote yamebaki kuwa historia tu tena, maana yametimia.
Mimi kama wewe tu, shabiki nambari moja wa Jakaya Mrisho Kikwete na kukutana naye, kukaa naye chini na kuweza kumuuliza maswali tuliyokua tumeyaandaa (kwa muongozo wao) ilikua raha isiyoelezeka. Mzee charming, mwenye roho nzuri na muelewa kabisa. Mengine yalofuata baada ya hapo ndo ambayo utayaona au kuyaskiliza katika maongezi yetu haya. Mengi yalikua ni juu ya yeye alivyokua na uelewa wake kwenye mambo mengi. I wish tungeweza kuongea nae kuhusu masuala meeengi zaidi kuhusu kiila kitu ila ki ukweli hii inatosha kwa sasa na Mungu atajaalia tutakutana naye tena siku nyengine In Shaa Allah.
Mheshimiwa JK aliongea nasi kuhusu Wazazi wake, elimu, uelewa wake wa mambo, yeye kuwa mwanajeshi. Jinsi alivyokutana na Mama Salma. Historia ya nyuma kidogo kuhusu mapenzi na jinsi Marehemu Mzee wake alivyomtaftia mke na kuzaliwa kwa mtoto wake wa kwanza ambaye ni Ridhwan. Kuhusu kitabu chake, mapenzi yake na basketball na muziki. Pia Kobe Bryant na mapenzi kwa wajukuu zake.
Kama ilivyo kawaida yetu, yangu matumaini utapata kadhaa humu ya kukufunza jambo. Na napenda kuchukua nafasi hii kumshkuru kila mtu ambaye alisaidia hilo kutimia na zaidi team yangu yote ya ‘YahStoneTown’ ambayo ilifanya kazi iliyotukuka kukamilisha hili.
Nikutakie Kheri ya mwaka mpya na kila lenye Kheri nawe.
Enjoy.
Love,
Salama.
Soundtrack Yeah by @MarcoChali https://www.youtube.com/watch?v=Cue1HB4fnLQ
Follow:
Twitter: http://twitter.com/YahStoneTown
Instagram: http://Instagram.com/YahStoneTown
Facebook: http://facebook.com/YahStoneTown
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz
Видео Salama Na JK | MSOGA UNO PART 2 канала YahStoneTown

Показать
Комментарии отсутствуют
Информация о видео
Другие видео канала
![Salama Na JK | MSOGA UNO PART 1](https://i.ytimg.com/vi/67rEmd97i6I/default.jpg)
![Salama Na Zuhura Ep 13 | DADAKE Part 1](https://i.ytimg.com/vi/K9wy-OhqGEE/default.jpg)
![MAMA ALIAMUA KUONDOKA NA SISI KWA KUTUWEKEA SUMU, KUFIKA MUHIMBILI WENZANGU WALIKUWA WAMESHAFARIKI.](https://i.ytimg.com/vi/TVAoJSvFGbg/default.jpg)
![Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 1](https://i.ytimg.com/vi/0vepNYagYTs/default.jpg)
![Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 2](https://i.ytimg.com/vi/hPrNGRRNch4/default.jpg)
![](https://i.ytimg.com/vi/MUViKTXykVY/default.jpg)
![Salama Na Baba Levo Ep 26 | ALL IN ALL Part 1](https://i.ytimg.com/vi/P-940E51oqA/default.jpg)
![Salama Na Idris Ep 8 | TROOPER Part 1](https://i.ytimg.com/vi/JOSqTqXX9-I/default.jpg)
![Salama Na TAJI Ep 45 | TABASAMU LA SWAHIBA Part 1](https://i.ytimg.com/vi/-_CBz97TiRo/default.jpg)
![Salama Na DOGO JANJA Ep 34 | YENTE Part 1](https://i.ytimg.com/vi/JI1TN2h8F0g/default.jpg)
![WATOTO WANGU SALAMA NA RIDHIWANI NIMEWALEA MWENYEWE.](https://i.ytimg.com/vi/9J_SjyE8cIc/default.jpg)
![Salama Na JOTI Ep 47 | SIMPLY SPECIAL PART 1](https://i.ytimg.com/vi/rHGoIupx7-c/default.jpg)
![HUWEZI KUFANIKIWA KIMAISHA BILA MATATU HAYA....](https://i.ytimg.com/vi/6yT-8DBxAZk/default.jpg)
![Kijana Jasiri ambana maswali Mazito Rais wa Zanzibar mbele ya umati .](https://i.ytimg.com/vi/rVCxkNudX5M/default.jpg)
![BABA LEVO ATOA SIRI KUNUNULIWA GARI NA DIAMOND: NAITWA CHAWA PROMAX / MWIJAKU AMEMSHINDWA DIAMOND](https://i.ytimg.com/vi/sY1NOtpmKnI/default.jpg)
![SHUHUDIA PETER MSIGWA NA WATOTO WAKE WENYE MAJINA YA MAGUFULI JOHN NA JOSEPH KWENYE MJADALA](https://i.ytimg.com/vi/gmdODcdt3SU/default.jpg)
![MASANJA: UKWELI MTOTO WANGU HAPENDI SHULE, AMEMRITHI, JOTI NA MPOKI, SIFANYI COMEDY MISIBANI](https://i.ytimg.com/vi/Pcmdg8deSmo/default.jpg)
![Utacheka ufe Misemo 20 ya Madebe Lidai itakayokuacha mdomo wazi #Matusi](https://i.ytimg.com/vi/fb-DMvq4JoQ/default.jpg)
![Cook with Wema Sepetu S02E10 Mama Kanumba](https://i.ytimg.com/vi/Bw-VyIPPcIw/default.jpg)
![Aliedai Kutapeliwa Kimapenzi na Goodluck Gozbert Atoa ya Moyoni | Aomba Awe Mumewe | Ampa Pole](https://i.ytimg.com/vi/zIey5xTd6gE/default.jpg)