Загрузка страницы

EWE ROHO MTAKATIFU KWAYA YA YOHANE PAULO II KITUNDA | TAMASHA LA FAMILIA KIGAMBONI 15/09/2019

Karibuni wapenzi watazamaji wa JUGO MEDIA, sasa tunakuletea matukio na performance zote zilizofanyika katika TAMASHA LA FAMILIA KIGAMBONI tarehe 15/09/2019 katika viwanja vya parokia ya MARKO MWINJILI maweni mji mwema kigamboni. tafadhari usiache kulike share comment na subscribe ili usipitwe na matukio yote.

orodha ya kwaya zilizoshiriki katika tamasha.
1. Yohane Paul wa pilli Kitunda
2. Catherine wa Siena Kawe
3. Alois Gonzaga Mabibo
4. Peter Clavery
5. Alois Gonzaga kigamboni
6. Gaspar Del Buffalo
7. Kristu Mfalme Mjimwema
8. Donibosco Kimanga
9. Mwenye heri Alamano Kibada
10. Kizito Gezaulole
11. Bmmm kijichi
12. Bmm kongowe
13. Bmc Gezaulole.

Видео EWE ROHO MTAKATIFU KWAYA YA YOHANE PAULO II KITUNDA | TAMASHA LA FAMILIA KIGAMBONI 15/09/2019 канала Jugo Media
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
17 сентября 2019 г. 13:46:34
00:03:19
Яндекс.Метрика