Загрузка страницы

JOKATE MWEGELO: "Wazazi Wangu Hawakupenda Nijiajiri"

Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1

Kaimu katibu wa uhamasishaji (UVCCM), Jokate Mwegelo, amezungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Zanzibar, na kuwashauri vijana hao katika mambo mbalimbali kuhusu elimu.

Pia kupitia mkutano huo Jokate amesimulia historia yake kuanzia anasoma shule ya msingi mpaka alipofika chuo kikuu cha Dar es Salaam, na kusomea masomo ya Sayansi ya Siasa, kisha njia alizozitumia mpaka kufikia alipofika sasahivi.

Na katika historia yake hiyo ameelezea pia jinsi ambavyo wazazi wake walikuwa wakipingana nae alipokuwa anataka kujiajiri.
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...

Видео JOKATE MWEGELO: "Wazazi Wangu Hawakupenda Nijiajiri" канала Global TV Online
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
29 ноября 2017 г. 1:38:12
00:09:08
Яндекс.Метрика