Загрузка страницы

Nyimbo za Watoto za Kisabato - MAFUNGU YA TUNDA LA ROHO

Tazama watoto wa makanisa ya mtaa wa Ntuzu wanaotoka katika makanisa 7 yaliyoweza kuuzuria kambi kubwa la mtaa wa NTUZU lililofanyika kuanzia tarehe 8/8/2020 na kuhitimishwa tarehe 15/8/2020.
Watoto hawa ni kutoka
Kanisa la Bariadi.
Kanisa la Basso
Kanisa la Ntuzu
kanisa la Bomani
Kanisa La Gitoya
Kanisa La Ngashanda
Na Kanisa la Sanungu ambalo lilishiriki kama kundi la Bomani ila Katika makambi haya likatengwa Rasmi kuwa Kanisa.
Tazama ili ubarikiwe na Bwana.
Pia kumbuka kutuma video hii kwa wazazi wote wenye watoto ili kuonyesha upendo.
Usisahau ku-SUBSCRIBE ili uwe unapata taarifa mara tuwekapo video mpya.
UBARIKIWE NA BWANA.
Like kisha toa Maoni hapa chini.

Видео Nyimbo za Watoto za Kisabato - MAFUNGU YA TUNDA LA ROHO канала BARIADI SDA CHURCH
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
16 августа 2020 г. 22:57:23
00:10:57
Яндекс.Метрика