- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
Laki sita za diwani zilipolipia upasuaji na kuokoa maisha ya mkazi wa Zingiziwa, Dar es Salaam
Baada ya kuishi na uvimbe tumboni kwa miaka sita, mkazi wa Kata ya Zingiziwa, Dar es Salaam, Lusiana Hendrick amefanikiwa kufanyiwa upasuaji ulioshuhudia kilo 10 za uvimbe zikitolewa tumboni mwake.
Kufuatia kufanyiwa upasuaji huo, Lusiana anatuma salamu za shukrani kwa aliyemsaidia kumudu gharama za upasuaji huo, Diwani wa Zingiziwa, Selemani Kaniki.
Msikilize….
“Utu ni Wema na Wema ni Utu”.
Видео Laki sita za diwani zilipolipia upasuaji na kuokoa maisha ya mkazi wa Zingiziwa, Dar es Salaam канала UTV Tanzania

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
11 ч. 29 мин. назад
00:08:01
Другие видео канала