Загрузка страницы

Wananchi Mbeya wahaha huduma ya maji, wanawake wahofia usalama wao

Mbeya. Wananchi wa mitaa ya Mponzi, Sinde, Chaula na Makunguru jijini Mbeya wameendelea kusotea huduma ya maji kwa zaidi ya miezi miwili tangu kukatika kwake, huku wanawake wakielelezea hofu yao kiusalama wanapoamka usiku kutafuta huduma hiyo.

Huduma hiyo ambayo ilipotea tangu Machi mwaka huu kwa baadhi ya maeneo, haijarejea tena na kufanya wakazi wa maeneo hayo katika Kata za Isanga, Ilemi na Ilolo kukosa maji na kusababisha adha kwa wananchi hao.

Kwa sasa wananchi huamka kati ya saa 10 hadi 11 alfajiri kutafuta huduma hiyo ambapo kimbilio kubwa imebaki kuwa chanzo cha Afrika ambapo asilimia ya wengi hupata msaada hapo, wengine wakitumia maji ya visima vya kuchimba ambayo si salama kwa afya.

Hata hivyo, tangu Mwananchi Digital kuripoti changamoto hiyo, Juni 10, mwaka huu mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Mbeya (Mbeya Uwssa) walikiri uwapo wa tatizo hilo ikiahidi kufanyia kazi ikisema kwa sasa upo mgao.

Mwananchi imefika katika baadhi ya maeneo ambayo ni kimbilio kwa wananchi kupata maji ikiwamo chanzo cha maji Afrika na visimani na kushuhuhudia foleni ya wananchi wakiwamo watoto wadogo wakihangaika kupata huduma hiyo.

Wakizungumza leo Juni 28, baadhi ya wananchi wamesema tangu kukatika maji mwezi Machi, wamekuwa katika wakati mgumu ikiwamo kuamka nyakati za usiku wakisema hawajaona utekelezaji wa kumtua mwanamke ndoo kichwani.

Видео Wananchi Mbeya wahaha huduma ya maji, wanawake wahofia usalama wao канала Mwananchi Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
28 июня 2024 г. 23:50:16
00:06:49
Другие видео канала
Hali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuHali ilivyo Soko la Kariakoo, baadhi ya wafanyabiashara wakifungua maduka baada ya kugoma siku tatuWenje awavaa wanaomsifia Rais Samia, ataka maandamano kuahinikiza waliokula fedha wakamatweWenje awavaa wanaomsifia Rais Samia, ataka maandamano kuahinikiza waliokula fedha wakamatweShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya UhuruShuhudia marais mbalimbali watua katika uwanja wa Uhuru | Miaka 60 ya UhuruMwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniMwendo Kasi Gongo la mboto kuisha mwakaniBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoBeki kisiki kutoka Uarabuni kutambulishwa Simba, Mo Dewji amaliza mchezoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoMashabiki wa Yanga Afrika Kusini waliosafiri hadi Rustenburg kuja kuishangilia timu yaoSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera HandeniSerikali kuanza kuwapa ardhi wananchi wenyeji wa Msomera Handeni🔴  #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwisho🔴 #EXCLUSIVE: Kipanya: Tunahitaji viongozi warefu wanaoona kesho, Afrika ni kama mtoto wa mwishoTazama Mbunge wa Kihaba Mjini Silyvestry Koka alichosema kwa Makamba bila uogaTazama Mbunge wa Kihaba Mjini Silyvestry Koka alichosema kwa Makamba bila uogaMahakama yaionya Serikali kesi ya madai ya ukahabaMahakama yaionya Serikali kesi ya madai ya ukahaba'Ma - hustlers' Kenya wanavyomkomalia Ruto kwa kuwasaliti, ndege aliyosafiria kwenda Marekani'Ma - hustlers' Kenya wanavyomkomalia Ruto kwa kuwasaliti, ndege aliyosafiria kwenda MarekaniSHUHUDIA UTAALAMU WA MADAKTARI MOI || WAFANIKIWA  KUFIKIA UBONGO KUTIBU MATATIZO BILA KUFUMUA FUVUSHUHUDIA UTAALAMU WA MADAKTARI MOI || WAFANIKIWA KUFIKIA UBONGO KUTIBU MATATIZO BILA KUFUMUA FUVUTaarifa ya Yusuf Manji iliyotufikia muda huu, mtoto wake afunguka..Taarifa ya Yusuf Manji iliyotufikia muda huu, mtoto wake afunguka..Mashimba Ndaki aeleza haya Bungeni; akichangia Muswada ulioletwa na Mwigulu BungeniMashimba Ndaki aeleza haya Bungeni; akichangia Muswada ulioletwa na Mwigulu BungeniTUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPATUMIA BANDARI YA KIPILI/IMARA NA YA KISASA/KIRANDO NI HATARI KWA USALAMA-TPASaid Makapu afichua siri za YangaSaid Makapu afichua siri za YangaYALIYOJIRI KIJIWE CHA MWANASPOTI LEO, MASHABIKI WAVUTANA KUHUSU CHAMA, ABAKI, AENDE?YALIYOJIRI KIJIWE CHA MWANASPOTI LEO, MASHABIKI WAVUTANA KUHUSU CHAMA, ABAKI, AENDE?#Simulizi: Siri iliyotesa Maisha yangu - Sehemu 01#Simulizi: Siri iliyotesa Maisha yangu - Sehemu 01Mapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Mapya yaibuka sakata la Mchungaji Kimaro, chanzo chatajwa 'sio likizo ya kwanza'Maisha ya Afande Sele,  mjengo wake huu hapa  amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababuMaisha ya Afande Sele, mjengo wake huu hapa amtengenezea Rais Samia, Magufuli maeneo, ataja sababu
Яндекс.Метрика