Загрузка...

Visa vya ajali za boda boda vyaongezeka mjini Nakuru

Ukosefu wa mafunzo thabiti umetajwa kama chanzo cha kuongezeka kwa ajali za barabarani zinazohusisha waendeshaji pikipiki nchini. Takwimu kutoka kwa mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani zinaonyesha kuwa nchi kufikia sasa imepoteza zaidi ya watu elfu tatu huku zaidi ya 900 wakiwa wahudumu wa boda boda.

Видео Visa vya ajali za boda boda vyaongezeka mjini Nakuru канала Citizen TV Kenya
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять