Загрузка страницы

| SHABAHA YA HAILE | Tunaangazia maisha ya mwanariadha wa zamani Haile Gebreselassie

Alikuwa shujaa wa riadha ya dunia na akapata medali mbii za dhahabu, ushindi mara 8 wa mashindano ya dunia na rekodi 27 za dunia katika kazi aliyoifanya kwa muda wa miaka 20. Hata hivyo, baada ya kustaafu mwaka 2015, mwanariadha mkongwe Haile Gebreselassie alifungua ukurasa mpya katika biashara ya mabilioni ya majumba, kilimo, na hata sekta ya elimu. Mwanahabari wetu Waihiga Mwaura amerejea kutoka nchini Ethiopia na kuandaa Makala yanayoangazia maisha ya mwanariadha huyu aliyegeuka mfanyibiashara, kwenye makala yaliyosomwa na Chemutai Goin

Видео | SHABAHA YA HAILE | Tunaangazia maisha ya mwanariadha wa zamani Haile Gebreselassie канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
5 сентября 2021 г. 21:38:47
00:05:11
Яндекс.Метрика