Загрузка страницы

IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ernest Mangu Ashuhudia

IGP Simon Sirro, ameapishwa rasmi kushika wadhifa wa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP), nafasi ambayo awali ilikuwa ikishikiliwa na Ernest Mangu.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
IGP Sirro ameapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli, ikulu jijini Dar es Salaam, hafla ambayo imehudhuriwa na makamu wa rais na viongozi wengine mbalimbali wa nchi, akiwemo Mangu.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Zoezi la kuapishwa, lilienda sambamba na kula kiapo cha maadili ya utumishi wa umma kisha likafuatia zoezi la upigaji wa picha za pamoja. kabla ya kuteuliwa kuwa IGP, Sirro alikuwa Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublishers/
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpublishers/

Видео IGP Simon Sirro Aapishwa Rasmi na Rais Magufuli Ikulu, Ernest Mangu Ashuhudia канала Global TV Online
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
29 мая 2017 г. 12:39:55
00:27:50
Яндекс.Метрика