Загрузка страницы

Bidhaa za thamani ya mamilioni zanaswa katika kaunti ya Kiambu

Maafisa wa polisi na maafisa wa mamlaka ya kupambana na bidhaa ghushi nchini walifanya msako katika nyumba moja Kiambu na kunasa vifaa ghushi vya eletroniki ambavyo vilikuwa vimefichwa. Vifaa hivyo vya thamani ya mamilioni ya pesa vilipatikana baada ya kampuni ambazo zinadai kuwa wateja wao walikuwa wakihadaiwa kuandikia mamlaka hiyo barua wakiitaka ichukue hatua za haraka

Видео Bidhaa za thamani ya mamilioni zanaswa katika kaunti ya Kiambu канала K24TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 мая 2024 г. 12:13:41
00:01:45
Яндекс.Метрика