Загрузка...

KAULI ya MWENYEKITI RAJABU MEI MOSI - ''MFANYAKAZI NAMBA 1 ni RAIS SAMIA''...

KAULI ya MWENYEKITI RAJABU MEI MOSI - ''MFANYAKAZI NAMBA 1 ni RAIS SAMIA''...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Mkoa wa Tanga Rajabu Abdulrahaman Abdalah anmesema chama hicho kimeahidi kuendelea kuthamini na kujali mchango wa wafanyakazi na wakulima hapa nchi

Hayo yameelezwa na mwenyekiti huyo ambae pia ni Mjumbe wa kamati kuu MCC katika sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani ambayo mkoani Tanga yamefanyika wilayani handeni katika viwanja vya shule ya msingi chanika

Amesema wafanyakazi ndani ya mkoa wa Tanga wamekiheshimisha chama hicho katika kutekeleza ilani ya Ccm ikiwemo ukamilishaji wa miradi ya maendeleo\
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: https://www.youtube.com/playlist?list=PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Видео KAULI ya MWENYEKITI RAJABU MEI MOSI - ''MFANYAKAZI NAMBA 1 ni RAIS SAMIA''... канала Global TV Online
Страницу в закладки Мои закладки
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки