Загрузка страницы

Pasipo Makosa Mkombozi Wetu -Rev Fr Fintan | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Kwaresma/lent

wimbo wa Ijumaa Kuu
_

Pasipo makosa mkombozi wetu, katika baraza la wakosefu
Na wote walia asulibiwe aachwe Baraba na Yesu afe

Ee Yesu washika msalaba wako na unakubali kufa juu yake
Ee Yesu useme sababu gani, ya nini mateso makali haya?

Ni pendo kwa Baba wa uwinguni, ni huruma yangu kwa wakosefu
Ee Mkristu mkimbuka mateso yangu, uache makosa uache dhambi.

#SautiTamu #Zilipendwa #Kwaresma

Pasipo Makosa Mkombozi Yesu

Umeandaliwa na Martin Mutua Munywoki

Tazama nyimbo nyinginezo za kipindi cha kwaresma katika channel hii kama vile Asilegee Moyowe, Amin Amin Nawaambia, Watumishi wake Baba wangapi waliopo, Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu, nani angesimama, Yesu akalia kwa sauti kubwa, Baba mikononi mwako naiweka roho yangu, Pasipo Makosa, Kwa nini wasimama mbali, nimekukimbilia wewe Bwana, na nyinginezo.

These are Catholic Lent songs, holy week songs, Good Friday Songs, Holy Thursday Songs, passion of Christ.
Tafuta pia nyimbo nyingine kama Nimekukimbililia wewe, moyo wangu, Baba mikononi mwako, mwanzi uliopondeka, gusaneni majeraha, Yuda akarudi (nchi inazizima), umekosa nini Yesu, lakini hata sasa nirudieni mimi, nihurumie nimekosa, uturehemu ee Bwana, Mungu wangu mbona umeniacha, Mama Pale Msalabani, kwa ajili ya mateso makali, na nyinginezo kukamilisha playlist yako ya Kwaresma na Holy Week

Видео Pasipo Makosa Mkombozi Wetu -Rev Fr Fintan | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Kwaresma/lent канала Sauti Tamu
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 января 2021 г. 10:52:41
00:02:32
Другие видео канала
Matega Maitu Ngai Turagutegera (Kikuyu Offertory Song) - Sauti Tamu MelodiesMatega Maitu Ngai Turagutegera (Kikuyu Offertory Song) - Sauti Tamu MelodiesSalamu Maria - Marcus Mtinga | Sauti Tamu MelodiesSalamu Maria - Marcus Mtinga | Sauti Tamu MelodiesNyimbo Tamu za ChristmasNyimbo Tamu za ChristmasVigelegele Kazaliwa Mwokozi - J. C. Shomaly | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Christmas | NoeliVigelegele Kazaliwa Mwokozi - J. C. Shomaly | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Christmas | NoeliLeo Yatimizwa Maneno ya Kale - Fr. L. M. Mwanampepo | Sauti Tamu Melodies (Christmas | Noeli)Leo Yatimizwa Maneno ya Kale - Fr. L. M. Mwanampepo | Sauti Tamu Melodies (Christmas | Noeli)Atawala Milele  - Sauti Tamu Melodies - Kristo Mfalme collectionAtawala Milele - Sauti Tamu Melodies - Kristo Mfalme collectionKristo Mshinda Kristo Mfalme - Sauti Tamu Melodies (Christus Vincit)Kristo Mshinda Kristo Mfalme - Sauti Tamu Melodies (Christus Vincit)Mungu Atukuzwe (To God be the Glory) - Sauti Tamu Melodies (Msifuni Msifuni)Mungu Atukuzwe (To God be the Glory) - Sauti Tamu Melodies (Msifuni Msifuni)Nthembo Tene - Sauti Tamu Melodies ( Kamba Offertory Song)Nthembo Tene - Sauti Tamu Melodies ( Kamba Offertory Song)Anayekula Mwili Wako - Sauti Tamu Melodies (wimbo wa Kupokea Ekaristi/komunyo)Anayekula Mwili Wako - Sauti Tamu Melodies (wimbo wa Kupokea Ekaristi/komunyo)Nijaposema kwa Lugha - Sauti Tamu Melodies (wimbo wa kumaliza Misa/exit/recession)Nijaposema kwa Lugha - Sauti Tamu Melodies (wimbo wa kumaliza Misa/exit/recession)Sasa Ndio Wakati (Zilete kwa Bwana) | Sauti Tamu MelodiesSasa Ndio Wakati (Zilete kwa Bwana) | Sauti Tamu MelodiesNyimbo za Christmas | Noeli - Merry Christmas Mix | Sauti TamuNyimbo za Christmas | Noeli - Merry Christmas Mix | Sauti TamuNeema Yangu Yakutosha - Fr. Renatus Rwelamira - University of Nairobi, Kikuyu Campus (KCCC)Neema Yangu Yakutosha - Fr. Renatus Rwelamira - University of Nairobi, Kikuyu Campus (KCCC)Bwana Anakuja (Karibu Bwana Njoo) - Fr. Songoro | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Majilio | AdventBwana Anakuja (Karibu Bwana Njoo) - Fr. Songoro | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa Majilio | AdventMbio Mbio Tutangazeni | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa injili/Gospel processionMbio Mbio Tutangazeni | Sauti Tamu Melodies | wimbo wa injili/Gospel processionWe Asa Osa Nthembo Yaitu | Sauti Tamu Melodies | Kamba Offertory Procession song | SadakaWe Asa Osa Nthembo Yaitu | Sauti Tamu Melodies | Kamba Offertory Procession song | SadakaBwana Asema Nitawanyunyizieni Baraka - J. C. Shomaly | Sauti Tamu MelodiesBwana Asema Nitawanyunyizieni Baraka - J. C. Shomaly | Sauti Tamu MelodiesSisi Wana wa Dunia (Usia wa Maria) - P. F. Mwarabu | Mwezi wa rozari  | Sauti Tamu MelodiesSisi Wana wa Dunia (Usia wa Maria) - P. F. Mwarabu | Mwezi wa rozari | Sauti Tamu MelodiesNyimbo za Ekaristi, Mwili na Damu ya Yesu |  Corpus Christi | Sauti Tamu Melodies MixNyimbo za Ekaristi, Mwili na Damu ya Yesu | Corpus Christi | Sauti Tamu Melodies MixMungu Mmoja - Utatu Mtakatifu | wimbo wa Holy Trinity Sunday  #shortsvideoMungu Mmoja - Utatu Mtakatifu | wimbo wa Holy Trinity Sunday #shortsvideo
Яндекс.Метрика