Загрузка...

RASMI: SELASINI ARUDI CHADEMA AIKACHA NCCR-MAGEUZI✌️ #shortsviral #chadema #nccrmageuzi #globaltv

Kada wa Chama cha NCCR Mageuzi ambaye alikuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Joseph Selasin ametangaza kuamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Selasin ametoa taarifa hiyo leo Ijumaa ya Machi 22, 2026 akiwa jijini Arusha alipojitokeza kushiriki mkutano wa hadhara wa CHADEMA unaofanyika jijini humo.

"Nilipata ajali ya kisiasa na baada ya kutafakari kwa kina nimeamua kurudi CHADEMA" amesema Selasin

Kwa siku za karibuni Joseph Selasin amekuwa akiunga mkono yale yanayofanywa na CHADEMA na mara kadhaa amekiri kwa kusema kuwa chama kilichopo kwenye uelekeo sahihi kwa sasa ni CHADEMA.

Видео RASMI: SELASINI ARUDI CHADEMA AIKACHA NCCR-MAGEUZI✌️ #shortsviral #chadema #nccrmageuzi #globaltv канала Global TV Online
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять