Загрузка...

Kutoka Idea Hadi App 📱 | Interview ya Developer wa Anga Yetu (Made in Tanzania)

Leo tunafanya interview maalum na developer wa Anga Yetu App, app ya Kitanzania inayolenga kubadilisha jinsi Watanzania wanavyotumia teknolojia 🌍📱
Katika video hii utajifunza:
Anga Yetu App ni nini na inafanya kazi gani
Changamoto alizokutana nazo developer
Teknolojia zilizotumika kutengeneza app
Ushauri kwa vijana wanaotaka kuingia kwenye software development
Kama unapenda apps za Kitanzania, programming, au unataka kuwa developer, video hii ni kwa ajili yako 🔥
👍 Like | 💬 Comment | 🔔 Subscribe kwa content zaidi za tech Tanzania 🇹🇿
#AngaYetu
#TechTanzania
#DeveloperWaKitanzania
#MadeInTanzania
#SoftwareDevelopment
#ProgrammingSwahili
#AppZaKitanzania
#TechInterview
#VijanaNaTeknolojia
#StartupTanzania

Видео Kutoka Idea Hadi App 📱 | Interview ya Developer wa Anga Yetu (Made in Tanzania) канала camelTech TV
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять