Загрузка страницы

Daktari George Muli anaangazia saratani ya tumbo

Saratani ya tumbo ni kansa inayotokea katika sehemu yoyote ya tumbo na mara nyingi Saratani hii inatibika iwapo itapatikana na kutibiwa katika hatua za awali. huku mfumo wa Maisha ukionekana kuchangaia mno kuwepo kwa saratani hii, katika siha na maumbile hii leo Dkt George Muli wa kituo cha matibabu cha Equity Afya kitengela anaeleza kwa kina kuhusu ugonjwa huo na namna mtu anavyoweza kuepuka hatari zake.

Видео Daktari George Muli anaangazia saratani ya tumbo канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
30 ноября 2023 г. 21:26:10
00:04:38
Яндекс.Метрика