MJERUMANI ATUA JANGWANI, MBINU ZAKE ZOTE HIZI HAPA.
Baada ya Yanga kuachana rasmi na kocha Miguel Gamondi na kocha wake msaidizi Mousa Ndaw.
Kocha Mjerumani Saed Ramovic ambaye ameachana na timu yake ya Ts Galaxy ya Afrika kusini siku 6 zilizopita ndiye ambae amechukua mikoba Yanga.
Mwanahabari @fortnatuskasomfi kutoka Afrika kusini amezingumza kwa undani zaidi ubora wake
Amemzungumzia kocha huyu ambaye bado hakuwa na rekodi za kutisha Afrika kusini tangu amejiunga na timu ya Galaxy 2021 msimu uliopita pekee ndio aliishia nafasi 6 akishinda mechi 12 kwa mara ya kwanza na mpaka anaondoka Ts Galaxy iko mkiani hajapata matokeo ya ushindi katika mechi 6.
#OneminutewithMo #TakeRisks @togsmedia @mwananchi_official @mwanasporti @habarileo_tz @thegadian @sundayworldnews @thesun @tbc_online @voguemagazine
@themercury @yangasc @simbasctz #simbavsyanga #michezoleo #trending #sport #football
Видео MJERUMANI ATUA JANGWANI, MBINU ZAKE ZOTE HIZI HAPA. канала TOGS MEDIA

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
15 ноября 2024 г. 21:03:58
00:02:27
Другие видео канала