Загрузка страницы

TLS, SERIKALI SAKO KWA BAKO

DAR ES SALAAM: OFISI ya Wakili Mkuu wa Serikali, Chama cha Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Chama cha Mawakili wa serikali (PBA) wemekutana na kujadili kushirikiana kukuza taaluma kwa wanasheria, kuendeleza maadili kwa wanasheria ili iweze kuleta tija kwa taifa.

Hayo ameyasema Leo Dk. Ally Possi Wakili Mkuu wa Serikali Ofisini kwao Jijini Dar es salaam kwenye mkutano na waandishi wa habari pamoja na nChama cha mawakili wa Serikali (PBA)na Chama cha Tanganyika Law Society (TLS)

Aidha Possi amesema kuwa watashirikina kufanya kazi karibu na mahakama yaani utatuzi wa migogoro nje ya mahakama ambapo yatasaidia kupunguza mrundikano wa kesi mahakamani na kutatua matatizo ya wananchi kwa haraka.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: https://www.facebook.com/Spotileo-176...
HabariLeo: https://www.facebook.com/habarileo/
DailyNews: https://www.facebook.com/dailynewstz/

INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...

TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09

Видео TLS, SERIKALI SAKO KWA BAKO канала Daily News Digital
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
25 сентября 2024 г. 20:02:16
00:02:56
Яндекс.Метрика