Загрузка страницы

Kocha KMC asema matokeo yao dhidi ya Yanga hayana atahari mechi zijazo

Kocha wa KMC, Abdi Hamid Moallin amesema matokeo ya mechi iliyopita dhidi ya Yanga, hayamaanishi chochote kuelekea mechi yao ya kesho Oktoba 2, 2024 ya NBC Premier League dhidi ya Kagera Sugar.

Kocha huyo amesema wakati mwingine unaweza kucheza vizuri kwenye mechi tatu, lakini ukafanya vibaya kwenye mechi inayofuata.

Nyota wa timu hiyo Nassib Majid, amesema uwezo waliouonesha kwenye mechi iliyopita dhidi ya Yanga SC ndio uwezo wa timu hiyo na wataendelea kuuonesha.

KMC ilicheza dhidi ya Yanga Septemba 29 na matokeo yalikuwa 1-0 kwa wao kupoteza.

#NBCPremierLeague #NBCPL #LigiKuuYaNBC #SisiNiSoka

Видео Kocha KMC asema matokeo yao dhidi ya Yanga hayana atahari mechi zijazo канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
2 октября 2024 г. 17:11:40
00:04:28
Яндекс.Метрика