Загрузка страницы

Wimbo wa Herufi A - Akili and Me Kiswahili

Tuimbe kuhusu herufi A!

Namwona A!
Anashangaa ah!
Na mkia wake!
Anatingisha!
Aaaa! Aaaa! Aaaa! Aaaa!

--

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili.

Angalia "Akili and Me" TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids.

Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and learn English with Akili!

Watch “Akili and Me” on TBC1, 9am Saturday and Sunday mornings!

http://www.akiliandme.com
http://facebook.com/akiliandme (English)
http://facebook.com/akilikiswahili (Kiswahili)

By Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning. Edutainment made in Africa, for Africa!

http://www.ubongo.co

Видео Wimbo wa Herufi A - Akili and Me Kiswahili канала Akili and Me - Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
1 апреля 2016 г. 20:34:43
00:01:21
Яндекс.Метрика