Загрузка страницы

FULSA KILIMO CHA MAHARAGE LISHE KINAVYO WEZA KUONGEZA MABILIONEA NCHINI.

Taasisi ya utafiti wa kilimo Tanzania TARI kituo cha Mbeya wamefanya kikao kazi na wadau mbalimbali wanao husika na lishe mashuleni kwa kanda ya nyanda za juu kusini ili kuongeza tija katika uzalishaji na matumizi ya maharage lishe kwa wanafunzi na wananchi kwa ujumla.
Akifungua kikao hicho mkurugenzi wa taasisi hiyo ya utafiti wa kilimo Tanzania kituo cha Uyole Dk Lugendo Bucheyeki amesema mbali na kuhimiza matumizi ya maharage lishe bado wanaendelea kusisitiza wananchi kuwekeza katika kilimo cha zao hili ili kujiongezea kipato na kuzalisha mabilionea watakao toka katika secta ya kilimo.

Radegunda Kessy ni mratibu wa mnyororo wa thamani ya maharage kutoka tasisi ya CIAT ameomba tasisi za kibenki na wadau mbalimbali kuongeza nguvu katika secta hii ya kilimo ili kuongeza uwezo kwa wakulima kulima kwa tija.

Nao watafiti kutoka kituo cha utafiti wa kilimo Tanzania TARI kituo cha Uyole wakaweka wazi kile kilicho pelekea wao kuja na utafiti katika zao hili la maharage.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA BIG STAR TV ( +255 623 715536), ( +255 718 613054)
⚫️ Email: info@bigstarfm.co.tz

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ THE KICK NA ADVERA MABIKI :
⚫️ Subscribe Big Star TV

Видео FULSA KILIMO CHA MAHARAGE LISHE KINAVYO WEZA KUONGEZA MABILIONEA NCHINI. канала Big Star Tv
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
17 ноября 2020 г. 19:49:12
00:06:56
Яндекс.Метрика