Загрузка страницы

Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Highlights | VPL 07/03/2021

POLISI TANZANIA vs YANGA: Goli la kusawazisha la Pius Buswita wa Polisi Tanzania dakika ya 90 limezima furaha ya Yanga kwa kufanya matokeo ya 1-1 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Yanga walitangulia kwa goli kali la kisigino kutoka kwa Fiston Abdoulrazak dakika ya 42 ambapo hadi kufika dakika ya 89, palikuwa na kila dalili kuwa Yanga wangeondoka na alama tatu.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Видео Polisi Tanzania 1-1 Yanga SC | Highlights | VPL 07/03/2021 канала Azam TV
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
7 марта 2021 г. 23:06:09
00:23:51
Яндекс.Метрика