Загрузка...

IBADA YA KUCHOMA MWILI WA MCHINA KUFANYIKA JUMAPILI

#HABARI Ibada ya kuchoma mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa kiwanda cha kurejesha bidhaa za plastiki raia wa China, aliyekuwa anaitwa Baozhang Ge, inatarajiwa kufanyika Mei 24,2026 katika eneo la Makumbusho jijini Dar es Salaam.

Akiongea na Tai Media, mdogo wa marehemu Denis Jerry, Mara baada ya kuipokea familia ya marehemu leo Mei 22,2026 amesema Ibada ya kuaga itafanyika kesho kiwandani hapo Mei 23,2026 hivyo Ndugu jamaa na marafiki watapata nafasi ya kutoa heshima za mwisho.

✍🏿@mariamshabanitz
#taimediatz #taimediatv

Видео IBADA YA KUCHOMA MWILI WA MCHINA KUFANYIKA JUMAPILI канала TaiMediaTz
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять