Загрузка страницы

Jux - Sawa (Snippet Acoustic Version)

MELODIEZ is finally here. Ndugu zangu wapenda muziki wangu. Kwa muda mrefu nimekuwa nikipokea messages kutoka kwa mashabiki zangu kuhusiana na kazi zangu za muziki. Message nyingi zimenionesha kwamba kuna vipaji vingi sana vya kuimba huko nje, ambavyo vingependa kupata nafasi ya kuimba na mimi kwa namna moja au nyingine. Kutokana na message hizo, tumeona tuanzishe kitu kinaitwa MELODIEZ. Hii ni special kwako shabiki mwenye kipaji cha kuimba na unayependa nyimbo zangu. Nitakuwa narekodi video fupi ya wimbo wangu (kama hii hapa), accoustic version, nitaimba verse moja, halafu wewe jirekodi video ukiimba verse ya pili, ipost kwenye page yako, tag #Melodiez, @juma_jux, pamoja na page ya @africanboy_hq on Instagram, mimi nitarepost videos zote. Video ya mtu atakayeimba vizuri na yenye comments na likes nyingi ndiyo itakayochagua mshindi. Mshindi atapata nafasi ya kurekodi video na mimi wimbo wote accoustic version tukiwa na band yangu. Lakini pia, atapata zawadi ya full collection kutoka @africanboy_brand on Instagram. Challenge hii iko wazi kwanzia wakati huu hadi Jumatano saa sita mchana. Let’s go my people.
#Melodies #KingOfHearts #Sawa

Видео Jux - Sawa (Snippet Acoustic Version) канала AfricanBOY
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
12 марта 2021 г. 22:58:47
00:01:49
Яндекс.Метрика