Загрузка...

jinsi ya kutumia Visual Studio Code VS Code

Karibu sana kwenye video hii ambapo nitakuonyesha jinsi ya kutumia Visual Studio Code (VS Code) kwa wanaoanza kujifunza programming.

VS Code ni mhariri maarufu wa msimbo unaotumiwa na watengenezaji wa programu ulimwenguni.

Katika video hii utaweza kujifunza:
✅ Namna ya kupakua na kusanikisha VS Code
✅ Jinsi ya kufungua mradi (project) mpya
✅ Kuandika msimbo wa HTML, CSS, JavaScript au Python
✅ Kutumia extensions kama Live Server, Python, na Prettier
✅ Mambo ya msingi ya kutumia terminal na ku-run code

🧩 Viungo Muhimu:
Pakua Python hapa (kwa Python projects):

💬 Kama una swali, usisite kuandika kwenye maoni hapa chini.

🔔 Usisahau kusubscribe kwenye channel hii kwa video zaidi za mafunzo ya teknolojia na coding kwa Kiswahili.

Welcome to this video where I’ll show you how to use Visual Studio Code (VS Code), especially for beginners who are just starting to learn programming.

VS Code is a popular code editor used by developers all over the world.

In this video, you’ll learn:
✅ How to download and install VS Code
✅ How to open a new project
✅ How to write code in HTML, CSS, JavaScript, or Python
✅ How to use useful extensions like Live Server, Python, and Prettier
✅ Basics of using the terminal and running your code

🧩 Useful Links:

Download Python here (for Python projects):

💬 If you have any questions, feel free to drop them in the comments below.

🔔 Don’t forget to subscribe to this channel for more videos on tech and coding tutorials in Swahili.

Видео jinsi ya kutumia Visual Studio Code VS Code канала Swahili Coderz
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять