Загрузка страницы

NINAYE YESU RAFIKI // MSANII MUSIC GROUP

Join this channel to get access to perks:
https://www.youtube.com/channel/UCD35TMzUo0LuM6HeQs2tsSQ/join

NINA RAFIKI Lyrics

Ninaye Yesu ,rafiki wa thamani kuu anipenda kwa pendo kuu
yeye ni kimbilio na wokovu wangu ni msaada wangu daima..x2

Chorus
Karibu na atarudi na kuwachukua washindi na kupaa nao katika utukufu na kuingia mbinguni tutatembea kwa furaha kwenye mji nayo matawi ya mitende hehe tukiimba wimbo ule mpya

Niwapo mchafu Nina mtegemea aongoza njia zangu
Ninatembea pamoja naye popote akiwapo Nina furaha

Видео NINAYE YESU RAFIKI // MSANII MUSIC GROUP канала Msanii Records
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
11 февраля 2022 г. 22:30:30
00:03:54
Яндекс.Метрика