Загрузка страницы

Wimbo "Wewe ni sisi, sisi ni we" Imba na Ubongo Kids | Katuni za Watoto Kiswahili

Ubongo Kids inamjenga mwanao, ikimpa fikra komavu zitakazomwezesha kutambua kusudi lake masomoni na maishani! Njoo nasi Kokotoa, ukajifunze kutumia uwezo na utashi wako kusuluhisha changamoto zinazokukabili ili ufike pale utakapo!

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua zilizo katika mfumo wa elimu-burudani kwa ajili ya watoto wa miaka 7 hadi 14, zikitumia nyimbo na maudhui ya Kiafrika kuwafundisha hisabati na sayansi! Katuni hii mahususi ya elimu inaandaliwa na Ubongo Learning, ambao pia ni watengenezaji wa kipindi murua ya Akili and Me inayowaandaa watoto wa miaka 3-6 kwa ajili ya kwenda shule!

Subscribe kupata video za kujifurahisha za bure kila wiki kutoka Ubongo Kids! Edutainment iliyotengenezwa barani Afrika, kwa Afrika.

Ubongo Kids iko kwenye TV! Tazama hapa: https://www.ubongo.org/shows/showtimes/

https://www.ubongokids.com
https://www.facebook.com/ubongokids/
http://twitter.com/ubongotz

Created by Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning!

https://www.ubongo.org

Made possible by the Human Development Innovation Fund, funded by UKAid, Grand Challenges Canada: Saving Brains

#UbongoKids #SwahiliCartoons #Elimu

Видео Wimbo "Wewe ni sisi, sisi ni we" Imba na Ubongo Kids | Katuni za Watoto Kiswahili канала Ubongo Kids Kiswahili
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
31 декабря 2022 г. 12:00:00
00:02:29
Яндекс.Метрика