- Популярные видео
- Авто
- Видео-блоги
- ДТП, аварии
- Для маленьких
- Еда, напитки
- Животные
- Закон и право
- Знаменитости
- Игры
- Искусство
- Комедии
- Красота, мода
- Кулинария, рецепты
- Люди
- Мото
- Музыка
- Мультфильмы
- Наука, технологии
- Новости
- Образование
- Политика
- Праздники
- Приколы
- Природа
- Происшествия
- Путешествия
- Развлечения
- Ржач
- Семья
- Сериалы
- Спорт
- Стиль жизни
- ТВ передачи
- Танцы
- Технологии
- Товары
- Ужасы
- Фильмы
- Шоу-бизнес
- Юмор
Mzozo wa Iran: China yasema tatizo la miaka mingi haliwezi kusuluhishwa kwa siku moja
#beijing #chinairan #chinausa
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi ametoa wito kwa Iran na Marekani kusonga mbele kwenye mazungumzo yao yanayolenga kuafikia mkataba wa kumaliza mapigano mashariki ya kati.
China imekuwa ikifanya juhudi za kumaliza mzozo wa sasa kati ya Tehran na Washington ambapo imekuwa ikifanya mazungumzo na pande hizo kwa lengo la kuafikia makubaliano.
Beijing imesisitiza kuwa changamoto ya muda mrefu haiwezi kutatuliwa kwa siku moja.
Видео Mzozo wa Iran: China yasema tatizo la miaka mingi haliwezi kusuluhishwa kwa siku moja канала RFI Kiswahili

Комментарии отсутствуют
Информация о видео
6 ч. 12 мин. назад
00:01:16
Другие видео канала