Загрузка страницы

Walimu wa sekondari msingi kutoka kaunti ya Uasin Gishu waandamana

Walimu wa Sekondari msingi kutoka kaunti ya Uasin Gishu wanaandamana hii leo mjini Eldoret, kulalamikia malipo duni ya mishahara na kuandikwa kazi ya kudumu na serikali kuu . John Wanyama yupo Eldoret na tunaungana naye kwa maelezo zaidi.

Видео Walimu wa sekondari msingi kutoka kaunti ya Uasin Gishu waandamana канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 мая 2024 г. 13:13:04
00:05:46
Яндекс.Метрика