Загрузка страницы

Kilimo cha papai Kajiado

Licha ya eneo la Mashuruu kwenye kaunti ya Kajiado kufahamika sana kwa umaarufu wa kuzalisha mboga, Kilimo cha papai kimeanza kupata umaarufu mkubwa katika eneo hilo. Wakulima waliojitosa kwenye kilimo hiki wakisema walichukua hatua baada ya kiangazi cha muda mrefu. Wanasema kuwa, kilimo hiki cha mipapai kinatumia maji machache na kinaweza kustahimili ukame. Robert Masai ana taarifa hii kutoka kaunti ya Kajiado

Видео Kilimo cha papai Kajiado канала Citizen TV Kenya
Показать
Комментарии отсутствуют
Введите заголовок:

Введите адрес ссылки:

Введите адрес видео с YouTube:

Зарегистрируйтесь или войдите с
Информация о видео
14 мая 2024 г. 13:25:09
00:03:30
Яндекс.Метрика