Загрузка...

Kujadili Urais wa 2030 Sasa ni Ubinafsi na Upumbavu - DKT.MWIGULU

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewatolea uvivu baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na watu wanaoruhusu majina yao kutajwa kwenye tetesi za mbio za Urais wa mwaka 2030, akisema kuwa ni jambo la "ubinafsi na upumbavu" kujadili uchaguzi ujao ilhali haujapita hata mwaka mmoja tangu kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu uliopita.

Akizungumza na wananchi wa Iringa Mjini leo, Mei 23, 2026, Dkt. Mwigulu amesema viongozi makini hawapaswi kuwaza vyeo, bali wanapaswa kuwaza namna ya kutatua shida za wananchi. Waziri Mkuu amesisitiza kuwa yeye binafsi haongozwi na ulafi wa madaraka na kuratibu siasa za "briefcase", bali anasimamia majukumu makubwa aliyopewa kikatiba na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kusimamia shughuli za kila siku za serikali.

Видео Kujadili Urais wa 2030 Sasa ni Ubinafsi na Upumbavu - DKT.MWIGULU канала MODC News
Яндекс.Метрика
Все заметки Новая заметка Страницу в заметки
Страницу в закладки Мои закладки
На информационно-развлекательном портале SALDA.WS применяются cookie-файлы. Нажимая кнопку Принять, вы подтверждаете свое согласие на их использование.
О CookiesНапомнить позжеПринять